New member
- Joined
- Mar 24, 2026
- Messages
- 2
Habari za mchana guys
Sorry for usumbufu
Nilikuwa naweka academic qualification ya bachelor Kwenye app ya Ajira portal ya my profile asa kuweka tu certificate and transcript ikajidouble imeonyesha Nina degree 2 afu zote ni sawa Yaani miaka vyeti everything na Hamna sehemu ya ku delete
Naomba msaada hapa
Kwa Gharama yoyote maana kuna application nimepeleka. Kama hio issue ni jau isije ikazingua if not niachane nayo
Maan hata huduma kwa wateja hawanipi
mhudumu simu inaita tu