Makoye Jr

Kuhusu usaili utumishi na data base

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Ndio boss kwa maelezo ya Utumishi database inakaa mwaka mmoja
Samahani kiongozi, Hivi ikiwa nilifanya usaili wa Tutorial Assistant nikafanikiwa kufika Oral lakini sikupata kazi hiyo. Je, jina langu linabaki katika kanzi data za utumishi?
 
Solution
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom