Kuitwa kwenye Usaili MDAs & LGAs 17-03-2025

Kuitwa kwenye Usaili MDAs & LGAs 17-03-2025 Ajira Portal

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Leo, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 19-03-2025 hadi 05-04-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Kuitwa kwenye Usaili MDAs & LGAs 17-03-2025
 

Download PDF

Similar content Most view View more
Back
Top Bottom