Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa anawatangazia waombaji wote wa ajira waliofanya mtihani wa kuandika kutembelea akaunti zao za maombi ya ajira kupitia mfumo wa ajira wa TAKUKURU “https://ajira.pccb.go.tz” na kwa barua pepe zao ili kupokea taarifa na maelekezo ya tarehe, muda na eneo la kufanyia usaili wa ana kwa ana (Oral Interview) kwa waliofaulu
Angalia hapa kwenye mfumo wa PCCB
ajira.pccb.go.tz
Angalia hapa kwenye mfumo wa PCCB