Kuitwa kwenye Usaili Polisi Tanzania

Kuitwa kwenye Usaili Polisi Tanzania 23-04-2025

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hili hapa tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Polisi Tanzania Mkuu wa Jeshi la Polisi anawatangazia vijana walioomba ajira ya Jeshi la Polisi kupitia mfumo wa Ajira (TANZANIA POLICE FORCE - RECRUITMENT PORTAL) kuwa usaili utafanyika kuanzia tarehe 28/4/2025 saa 07:00 Asubuhi hadi tarehe 11/5/2025 kote nchini.

Kwa wasailiwa wenye elimu ya Shahada, Stashahada na Astashahada usaili utafanyika jijini Dar es Salaam katika uwanja wa gwaride uliopo Kambi ya Polisi (Police Barracks) barabara ya Kilwa nyuma ya kituo cha Polisi Kilwa Road.


Angalia hapa orodha nzima.
Kuitwa kwenye Usaili Polisi Tanzania
 
Last edited:
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom