- Views: 183
- Replies: 3
Habari zenu Wakuu...!!
Husika na kichwa hapo juu.
Katika kufuatilia matangazo mbalimbali ya kuitwa kwenye usaili, nimekutana na jambo fulani kidogo limenichanganya. Yafuatayo ni maswali niliyo jiuliza baada ya kusoma matangazo mawili tofauti ya kuitwa kwenye usaili.
1. Hivi inawezekana mtu mmoja kuitwa kwenye usaili kwenye kada mbili tofauti akiwa na level moja ya Elimu. Mfano: Mtu ana Bachelor ya Social Work na Bachelor ya Community Development kwa level ya degree...!?
2. Mtu mmoja anaweza kuajiriwa na Taasisi mbili tofauti kwa wakati mmoja...!?
Naambatanisha Matangazo haya mawili hapo chini ili tuyapitie mnieleweshe kwenye maswali tajwa hapo juu.
NB: Kwenye Matangazo haya mawili kuna Jina limejirudia mara mbili kwenye kada mbili tofauti.
Ahsante.

Nafasi za Kazi Bagamoyo Sugar Tanzania
18-04-2025
Nafasi 185 za kazi Reveurse
19-04-2025
Download PDF