P

KUITWA USAILI KWA KADA MBILI TOFAUTI.

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Habari zenu Wakuu...!!

Husika na kichwa hapo juu.

Katika kufuatilia matangazo mbalimbali ya kuitwa kwenye usaili, nimekutana na jambo fulani kidogo limenichanganya. Yafuatayo ni maswali niliyo jiuliza baada ya kusoma matangazo mawili tofauti ya kuitwa kwenye usaili.

1. Hivi inawezekana mtu mmoja kuitwa kwenye usaili kwenye kada mbili tofauti akiwa na level moja ya Elimu. Mfano: Mtu ana Bachelor ya Social Work na Bachelor ya Community Development kwa level ya degree...!?

2. Mtu mmoja anaweza kuajiriwa na Taasisi mbili tofauti kwa wakati mmoja...!?

Naambatanisha Matangazo haya mawili hapo chini ili tuyapitie mnieleweshe kwenye maswali tajwa hapo juu.

NB: Kwenye Matangazo haya mawili kuna Jina limejirudia mara mbili kwenye kada mbili tofauti.

Ahsante.
 
Download PDF

1. Ungetaja ni jina gani maana kuanza kuangalia jina moja moja nayo kazi
2. Ndio inatokea maana kuna matangazo unakuta yanataka either kwenye qualification mtu awe na zile wanasema related fields ukiwa na kigezo hata kama sio kozi yako basi unaweza kuomba.

Jina: AMINA TWALIB

1. JINA: AMINA TWALIB NUNNY

2. Ila kwenye hizo Post mbili walio jaribu kuomba zote ziliwagomea, zilitaka mtu aombe moja tuu. Mfano: Kama mtu ana Bachelor ya Social Work alikuwa hawezi Kuomba kwenye Community Development and it is vise verse. Japo najua kama kuna related field kwenye post husika mtu anaweza kuomba hata kama sio field yake.

NB: Jina tajwa hapo juu, huyo mtu simfahamu kabisa ila nimekuwa interested kujua baada ya kuona jina lake mara mbili kama nilivyo elezea hapo juu.

Ahsante.
 
Tuseme ana bahati sana mpaka kuonekana sehemu ambayo siyo field yake hahaha
 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom