New member
- Joined
- Dec 10, 2024
- Messages
- 1
Habari, naomba msaada napata shida kutuma maombi ya kazi za Ardhi na Tanzania Petroleum Development, nikibonyeza apply ili nitume barua inasema niangalie kama degree ilotajwa ndo nilokuwa nayo. Na kigezo cha elimu kichowekwa ndo nilichonacho. Na ni kwa kazi zote mbili, mara nyingine nimekuwa nikituma maombi bila shida.