S

Kushindwa kuomba kazi ajira portal

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.

Swaum Adam

New member

Joined
Dec 10, 2024
Messages
1
Habari, naomba msaada napata shida kutuma maombi ya kazi za Ardhi na Tanzania Petroleum Development, nikibonyeza apply ili nitume barua inasema niangalie kama degree ilotajwa ndo nilokuwa nayo. Na kigezo cha elimu kichowekwa ndo nilichonacho. Na ni kwa kazi zote mbili, mara nyingine nimekuwa nikituma maombi bila shida.
Ebu tuma screenshot inavyo andika please
 
Back
Top Bottom