Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, anawajulisha waombaji kazi wote walioitwa kwenye usaili kwa njia ya Mtandao (OATS) Mkoa wa Ruvuma kuwa kuna mabadiliko ya sehemu ya kufanyia usaili. Usaili utafanyika katika Chuo cha Ufundi Stadi VETA - SONGEA badala ya Chuo cha Ualimu Songea kama ilivyoainishwa kwenye akaunti zenu za ajira portal. Aidha, Muda na tarehe unabaki kama ilivyokuwa kwenye tangazo la awali la kuitwa kwenye usaili.
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CHUO CHA SUA
22-09-2025