MABADILIKO YA ENEO LA USAILI WA VITENDO KADA YA MTAKWIMU DARAJA II AJIRA PORTAL

MABADILIKO YA ENEO LA USAILI WA VITENDO KADA YA MTAKWIMU DARAJA II AJIRA PORTAL 2-05-2025

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Mabadiliko ya eneo la usaili wa vitendo Waombaji kazi wote walioitwa kwenye usaili wa vitendo kada ya Mtakwimu II (Statistician II) ambayo mwajiri wake ni Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya eneo la usaili wa vitendo.

Usaili wa vitendo utafanyika tarehe 05.05.2025 katika Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA) - Dar es Salaam badala ya Chuo cha Takwimu Mashariki Mwa Afrika (EASTC) kama ilivyoelekezwa kwenye tangazo la awali.

Aidha,maelekezo mengine pamoja na ratiba ya usaili wa mahojiano itabaki kama ilivyo kwenye tangazo la awali la kuitwa kwenye usaili.

Soma zaidi.
MABADILIKO YA ENEO LA USAILI WA VITENDO KADA YA MTAKWIMU DARAJA II AJIRA PORTAL
 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom