Hii hapa Majina au Orodha ya walioitwa kwenye usaili Zimamoto Taaluma Mbalimbali Aprili 2025. Hivyo, Vijana watakaofanya usaili Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wazingatie tarehe zao za usaili. Aidha, atakayekuja tarehe ambayo haijapangwa hatapokelewa.
Orodha ya Vijana waliochaguliwa kufanya usaili pamoja na makundi hayo inapatikana katika tangazo hili kupitia tovuti ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (zimamoto.go.tz).
Angalia majina hapa.
Orodha ya Vijana waliochaguliwa kufanya usaili pamoja na makundi hayo inapatikana katika tangazo hili kupitia tovuti ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (zimamoto.go.tz).
Angalia majina hapa.
Orodha/Majina ya walioitwa kwenye usaili Zimamoto Kidato cha Nne Aprili 2025
ajira.zimamoto.go.tz
Nafasi za Kazi Survival Hospital Tanzania
19-04-2025