Majina/Orodha ya walioitwa kwenye usaili Zimamoto Taaluma Mbalimbali Aprili 2025

Majina/Orodha ya walioitwa kwenye usaili Zimamoto Taaluma Mbalimbali Aprili 2025 ajira.zimamoto.go.tz

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hii hapa Majina au Orodha ya walioitwa kwenye usaili Zimamoto Taaluma Mbalimbali Aprili 2025. Hivyo, Vijana watakaofanya usaili Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wazingatie tarehe zao za usaili. Aidha, atakayekuja tarehe ambayo haijapangwa hatapokelewa.

Orodha ya Vijana waliochaguliwa kufanya usaili pamoja na makundi hayo inapatikana katika tangazo hili kupitia tovuti ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (zimamoto.go.tz).

Angalia majina hapa.
Majina/Orodha ya walioitwa kwenye usaili Zimamoto Taaluma Mbalimbali Aprili 2025
 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom