Majina ya Walimu, Afya, Kada Mbalimbali Walioitwa kazini Ajira Portal 05/02/2025

Majina ya Walimu, Afya, Kada Mbalimbali Walioitwa kazini Ajira Portal 05/02/2025 Kuitwa Kazini 2025

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Leo, Majina ya Walimu, Afya, Kada Mbalimbali Walioitwa kazini Ajira Portal 05/02/2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 02-09-2024 na tarehe 17-01-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Majina ya Walimu, Afya, Kada Mbalimbali Walioitwa kazini Ajira Portal 05/02/2025


 
Mr Admin nimeomb msaada vitu viwili. Kwny ajira za TRA
1. NImeoa hivyo naomb kuuliza kwny kujaza status pale kwny application za TRA Je ni vzr niweke nimeoa au niweke single ?
2. Kwny ku.upload vyet unajaza Chet pek yake au na transcript na km na transcript maan yake lazm ni scan Chet na transcript yake.?
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom