Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombajikazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 04-05-2024 na tarehe 24-02-2025kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katikatangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenyekanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada yanafasi kupatikana.
Attachments
Last edited by a moderator: