Hii hapa orodha ya Majina ya Waliochaguliwa Polisi 2025 Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza majina ya waombaji waliochaguliwa kushiriki katika mafunzo na kisha kuitwa kazini wa ajira mpya kwa mwaka 2025. Usaili au mafunzo haya ni sehemu ya mchakato wa kuajiri askari wapya kwa lengo la kuimarisha ulinzi na usalama nchini.
Tazama hapa waliochaguliwa kujiunga na Polisi Tanzania.
Tazama hapa waliochaguliwa kujiunga na Polisi Tanzania.