Majina ya Walioitwa kazini Ajira Portal Taasisi Mbalimbali Januari 31, 2025

Majina ya Walioitwa kazini Ajira Portal Taasisi Mbalimbali Januari 31, 2025 Utumishi

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi.
Hii hapa orodha kamili ya Majina ya Walioitwa kazini Ajira Portal Taasisi Mbalimbali Januari 2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 26-09-2024 na tarehe 19-12-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Majina ya Walioitwa kazini Ajira Portal Taasisi Mbalimbali Januari 31, 2025

1. Halmashauri ya Jiji la Mbeya
2. Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo
3. Halmashauri ya Wilaya ya Chunya
4. Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe
5. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mbeya
6. Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo
7. Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)
8. Chuo Kikuu Mzumbe
9. Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT)
Bonyeza hapa Ku-download PDF ya majina yote
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom