Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Wilaya ya Chamwino

Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Wilaya ya Chamwino 2024-10-29

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,576
Gift submitted a new resource:

Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Wilaya ya Chamwino - Kuitwa kazini Utumishi na Ajira Portal - Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Wilaya ya Chamwino Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.

Maagizo kwa Waombaji Waliofaulu​

Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 02 Septemba 2024 na 13 Septemba 2024 kuwa matokeo ya usaili...

Read more about this resource...
 
Back
Top Bottom