Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Wilaya ya Gairo

Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Wilaya ya Gairo 28 Octoba 2024

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.

GiftVerified member

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,160
Gift submitted a new resource:

Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Wilaya ya Gairo - Kuitwa kazini Utumishi na Ajira Portal - Halmashauri ya wilaya ya Gairo leo 28 Octoba 2024

Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Wilaya ya Gairo Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.

Kuitwa kazini utumishi na ajira portal
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 02 Septemba 2024 na 13 Septemba 2024 kuwa matokeo ya usaili yamechapishwa rasmi. Matokeo haya yanajumuisha waombaji waliofaulu...

Read more about this resource...
 
Back
Top Bottom