Orodha ya Majina ya Walioitwa kazini Wizara ya Afya 2025 MOH kuitwa kazini kada mbalimbali, Katibu Mkuu Wizara ya Afya anapenda kuwataarifu waombaji wote waliofaulu usaili waSekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma na kupangiwa kuripoti Wizara ya Afyakwamba, waripoti katika Ukumbi wa Taasisi ya Afya na Sayansi Shirikishi, MirembeDODOMA ( DIHAS) ili kukamilisha taratibu za ajira kama tarehe zinavyoonesha kwenyetangazo. Waajiriwa wote wanatakiwa kufika na vyeti halisi (Original) nakala 2 kwa kila chetiambacho kilitumika wakati wa kuomba ajira ikiwa ni pamoja na:
Bonyeza hapa kudownload PDF ya majina kuitwa kazini Wizara ya Afya
Waajiriwa wapya wanapaswa kuwasilisha nyaraka muhimu zifuatazo: nakala ya cheti cha kuzaliwa, wasifu binafsi (CV), picha mbili za passport size, nakala ya kitambulisho au namba ya uraia (NIDA), nakala za vyeti vya elimu ya sekondari (Kidato cha Nne na Sita), pamoja na nakala za vyeti vya taaluma na transcript. Pia, wanatakiwa kuwasilisha nakala ya cheti cha mafunzo kwa vitendo (Internship), nakala ya cheti cha usajili kutoka baraza au bodi husika (leseni halali), na nakala ya ithibati ya vyeti vya elimu na taaluma (Accreditation and Equivalence) kutoka TCU na NECTA kwa wale waliosoma vyuo au sekondari nje ya nchi au kwa mitaala ya nje. Iwapo majina yanatofautiana kati ya vyeti na cheti cha kuzaliwa, kiapo cha majina (Deed Poll) kilichosajiliwa na Msajili wa Hati Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi kinahitajika.
Waajiriwa wanapaswa kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa ndani ya siku 14 baada ya kupokea barua ya ajira. Wale watakaoshindwa kuripoti ndani ya muda uliopangwa, nafasi zao zitajazwa na waombaji wengine wa kada husika. Aidha, yeyote atakayeripoti akiwa na transcript tu au akiwa na nakala pungufu za vielelezo vilivyotajwa hapo juu hatapokelewa. Orodha ya majina ya waajiriwa walioitwa kuripoti inapatikana kupitia tovuti ya Wizara ya Afya wizara.go.tz pamoja na mitandao ya kijamii.

Nafasi za Kazi SECP Tanzania
Ajira Mpya 2025
Last edited: