Hii hapa orodha ya Majina ya walioitwa kwenye Usaili Jeshi la Uhamiaji 2025/2026, Interview ni kwa walioomba Ajira kupitia Mfumo wa e-Ajira wa Uhamiaji na waliopokea barua pepe na ujumbe wa simu kufika kwenye saili.
Kumbuka, Waombaji walioombea Tanzania Bara wanatakiwa kufika katika Ukumbi wa Maktaba (Library) Ndaki ya Elimu (CoED) Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) tarehe 15 Januari, 2025 saa 1:00 asubuhi. Aidha, waombaji wa Zanzibar wanatakiwa kufika katika Ukumbi wa Dkt. Ali Mohamed Shein Hall uliopo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 15 Januari, 2025 saa 1:00 asubuhi.

Nafasi za kazi Movit Products Tanzania
Januari 2025
Attachments