Majina ya walioitwa kwenye Usaili Jeshi la Uhamiaji 2025/2026

Majina ya walioitwa kwenye Usaili Jeshi la Uhamiaji 2025/2026 e-Ajira Immigration

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Hii hapa orodha ya Majina ya walioitwa kwenye Usaili Jeshi la Uhamiaji 2025/2026, Interview ni kwa walioomba Ajira kupitia Mfumo wa e-Ajira wa Uhamiaji na waliopokea barua pepe na ujumbe wa simu kufika kwenye saili.
Majina ya walioitwa kwenye Usaili Jeshi la Uhamiaji 2025/2026

Kumbuka, Wasailiwa wote wanatakiwa kuwa na namba ya ombi la Ajira (Application ID) kama ilivyotumwa kwenye akaunti na barua pepe ya mwombaji, Kitambulisho chenye picha yake (Mfano, Kitambulisho cha Taifa, Kitambulisho cha Mkazi, Kadi ya Mpiga Kura, Pasipoti au Kitambulisho chochote kinachomtambulisha kwa sasa) pamoja na Kalamu ya wino wa bluu.
 
Last edited by a moderator:
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom