Majina ya walioitwa kwenye Usaili kada za Ualimu Mkoa wa Iringa, Kagera, Katavi, Kigoma 2025

Majina ya walioitwa kwenye Usaili kada za Ualimu Mkoa wa Iringa, Kagera, Katavi, Kigoma 2025 Ajira za walimu

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hii hapa orodha ya Majina ya walioitwa kwenye Usaili kada za Ualimu Mkoa wa Iringa, Kagera, Katavi, Kigoma 2025 kufanya interview yaliyo tangazwa muda huu kutoka ajira portal kupitia sekretarieti ya Ajira katika utumishi wa Umma.
Majina ya walioitwa kwenye Usaili kada za Ualimu Mkoa wa Iringa, Kagera, Katavi, Kigoma 2025

Majina ya wasailiwa wa kada za ualimu watakaofanyia usaili mkoa wa iringa
kwa wenye usaili wa kuandika, usaili huo utafanyika: chuo kikuu kishiriki cha elimu mkwawa (MUCE)
kleruu teachers' college
ruaha catholic university (RUCU)

Usaili wa mahojiano utafanyika: jengo la ofisi ya mkuu wa mkoa wa iringa

Usaili mkoa wa kagera

Kwa wenye usaili wa kuandika, usaili huo utafanyika: chuo cha veta mkoa wa kagera-burugo
Shule ya sekondari ya rugambwa
Shule ya sekondari ya ihungo
Shule ya sekondari bukoba

Usaili wa mahojiano utafanyika: shule ya sekondari ihungo

Usaili mkoa wa katavi

Kwa wenye usaili wa kuandika, usaili huo utafanyika: shule ya sekondari ya wasichana mpanda

Usaili wa mahojiano utafanyika: shule ya sekondari ya wasichana mpanda

Usaili mkoa wa kigoma

Kwa wenye usaili wa kuandika, usaili huo utafanyika: shule ya sekondari buronge

Usaili wa mahojiano utafanyika: shule ya sekondari kigoma.

Bonyeza hapa kudownload PDF nzima
 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom