Majina ya walioitwa kwenye Usaili kada za Ualimu Mkoa wa Morogoro, Lindi, Manyara, Mara, Mbeya 2025

Majina ya walioitwa kwenye Usaili kada za Ualimu Mkoa wa Morogoro, Lindi, Manyara, Mara, Mbeya 2025 Ajira za Walimu

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi.
Hii hapa orodha ya Majina ya walioitwa kwenye Usaili kada za Ualimu Mkoa wa Kilimanjaro, Morogoro, Lindi, Manyara, Mara, Mbeya 2025 kufanya interview yaliyo tangazwa muda huu kutoka ajira portal kupitia sekretarieti ya Ajira katika utumishi wa Umma.
Majina ya walioitwa kwenye Usaili kada za Ualimu Mkoa wa Morogoro, Lindi, Manyara, Mara, Mbeya 2025

Usaili mkoa wa lindi

Kwa wenye usaili wa kuandika, usaili huo utafanyika: shule ya sekondari wama sharaff-mitwero
usaili wa mahojiano utafanyika: shule ya sekondari wama.

Usaili mkoa wa manyara​

Kwa wenye usaili wa kuandika, usaili huo utafanyika: chuo cha uhasibu arusha - kampasi ya babati
usaili wa mahojiano utafanyika: chuo cha uhasibu arusha - kampasi ya babati.

Usaili mkoa wa mara​

Kwa wenye usaili wa kuandika, usaili huo utafanyika: chuo cha maendeleo ya jamii buhare - musoma
usaili wa mahojiano utafanyika: chuo cha maendeleo ya jamii buhare - musoma.,

Usaili mkoa wa mbeya​

Kwa wenye usaili wa kuandika, usaili huo utafanyika: catholic university of mbeya (CUoM)
usaili wa mahojiano utafanyika: chuo cha sayansi na teknolojia mbeya (MUST)

Usaili mkoa wa morogoro​

kwa wenye usaili wa kuandika, usaili huo utafanyika: chuo kikuu cha sokoine cha kilimo (SUA), moringe sokoine campus - jengo la maabara jumuishi
usaili wa mahojiano utafanyika: chuo kikuu cha sokoine cha kilimo (SUA)

Bonyeza hapa ku-download PDF zote
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom