- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 180
Kupitia Mtandao wake wa Instagram Haji Manara Shabiki maarufu wa Klabu ya Young Africans, ameandika haya.
"Hizi ndio Game zako Mwamba.
"Ujuzi ,Uzoefu na Maarifa yako tunayategemea kesho hapo Lubumbashi
"Nenda katupe hii furaha,kaonyesha ubora wako wewe na Wenzio kikosini.
Tunawaamini na Tunawategemea sana
"Insha'Allah tutapata Points Tatu Leo"

Attachments