Maombi ya Leseni za Uuguzi na Ukunga

Maombi ya Leseni za Uuguzi na Ukunga Mfumo wa TNMCIS

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Jinsi ya kukata na kufanya Maombi ya Leseni za Uuguzi na Ukunga kwenye mfumo wa Mwongozo huu umetoa maelekezo na hatua za kupitia wakati wa kufanya maombi ya mtihani wa leseni. Tafadhali soma kwa umakini na kuelewa kabla hujaanza kufanya maombi haya.

Ingia kwenye mfumo hapa

Pakua PDF ya mwongozo hapa
Maombi ya Leseni za Uuguzi na Ukunga
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom