- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 169
Wawakirishi pekee wa Tanzania katika michuano ya shirikisho Africa CAFCC, Simba sports club wanalazimika kutoka suruhu ya Goli Moja Kwa Moja kipindi Cha Kwanza na Cs Sfaxien ya Tunisia huku matokeo mengine ni
Mameloid sundowns wanalazimika kwenda mapumziko wakiwa suruhu ya bila kufungana na Raja Casablanca.
- CD Lunda sul 0 vs 0 Stellenbosch FC
- Orapa United 0 vs 0 Asc Jaraaf
- Associacao Black bulls 1 vs 0 Enyimba Fc
Mameloid sundowns wanalazimika kwenda mapumziko wakiwa suruhu ya bila kufungana na Raja Casablanca.
Attachments