- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 169
Mechi nzuri ya kuitazama, Yanga wanamiliki mali vizuri lakini wakifika kwenye nusu ya Mazembe wanakuwa na idadi ndogo ya wachezaji + Tp wanazuia vizuri wakiwa kwenye “Mid block” : Yanga wanapata runners wengi eneo la mbele na wapo sharp kwenye kuachia mipira
Wanachokifanya Mazembe wakati wanashambulia ni usahihi wa pasi zao …. Hawana idadi kubwa ya wachezaji ila wapo direct sana. Alichokifanya Boka kulikuwa hakuna haja ya tackling pale : lile goli la Mzize, kuna battle ya Aucho na Zemanga kwenye kiungo