Revoo Member Reputation: 22% Joined Dec 12, 2024 Messages 194 Dec 18, 2024 #1 Kipindi Cha kwanza kimeisha huku Simba wa Msimbazi wapo kifua mbele Kwa Goli mbili zote zikiwekwa kimiani na Leonel Ateba katika dakika ya 42' na 44' huku Ken Gold bado hawajapata Kitu. Kikosi Cha Simba sports club vs Ken Gold Leo Mchezo Umetamatika: Simba 2 vs 0 Ken Gold
Kipindi Cha kwanza kimeisha huku Simba wa Msimbazi wapo kifua mbele Kwa Goli mbili zote zikiwekwa kimiani na Leonel Ateba katika dakika ya 42' na 44' huku Ken Gold bado hawajapata Kitu. Kikosi Cha Simba sports club vs Ken Gold Leo Mchezo Umetamatika: Simba 2 vs 0 Ken Gold