Naomba msaada wa Maswali ya usaili Ordinary Sailor II. kama unayo unayajua ambayo yalisha ulizwa kwenye interview mbalimbali naomba nijibu hapo chini.
Maswali ya usaili Marine Engineer II
Interview Questions
Maswali ya Usaili Driver II
Interview Questions