Haya hapa matokeo ya Apprenticeship 2025 yaliyo tolewa na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) Mitihani hiyo ilihusisha jumla ya watahiniwa 40,973 waliofanya mitihani katika programu zifuatazo: Programu ya Kupima Umahiri (CBA), Programu maalum ya Uanagenzi Pacha (DATS), Programu ya Mafunzo ya Biashara (NABE) na Programu ya Uanagenzi Katika Fani za Madini (IMTT). Wastani wa ufaulu kwa programu zote nne (4) ni asilimia 81.1.
Angalia hapa.
Angalia hapa.
Matokeo ya NABE 2025
Matokeo ya VETA