Matokeo ya Kidato cha Pili Zanzibar 2024/2025

Matokeo ya Kidato cha Pili Zanzibar 2024/2025 BMZ

GiftVerified member

Administrator

Staff member
Reputation: 87%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
603
Baraza la Mitihani la Zanzibar linapenda kuujulisha umma kuwa Matokeo ya Mitihani ya Taifa ya Kidato Cha Pili ya Mwaka 2024 yametolewa na yatapatikana katika tovuti zifuatazo:
Matokeo ya Kidato cha Pili Zanzibar 2024/2025

Aidha, kwa mzazi, Mwalimu au mwanafunzi ambaye hajaridhishwa na matokeo yaliyowasilishwa anatakiwa kufika ofisi za Baraza la Mitihani Vuga kwa Unguja na ofisi za Baraza zilizopo Chake Chake kwa upande wa Pemba kwa ajili ya kupata maelekezo na kujaza fomu ya malalamiko. Malalamiko hayo yawasilishwe ndani ya kipindi cha mwezi mmoja (1) kuanzia yalipotolewa matokeo.
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom