Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) iliendesha Mitihani ya Taifa ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi kwa Msimu wa Mwezi Desemba, 2025 ikiwa ni hatua za kutathmini umahiri uliopatikana katika kipindi husika cha mafunzo katika ngazi ya 1, 2 na 3. Mitihani hiyo ilihusisha jumla ya watahiniwa 40,973 waliofanya mitihani katika programu zifuatazo: Programu ya Kupima Umahiri (CBA), Programu maalum ya Uanagenzi Pacha (DATS), Programu ya Mafunzo ya Biashara (NABE) na Programu ya Uanagenzi Katika Fani za Madini (IMTT). Wastani wa ufaulu kwa programu zote nne (4) ni asilimia 81.1.
Angalia matokeo ya VETA hapa.
Angalia matokeo ya VETA hapa.
Matokeo ya CBA 2025
Matokeo ya VETA