MATOKEO YA MITIHANI YA UFUNDI STADI VETA MSIMU WA DESEMBA 2025

MATOKEO YA MITIHANI YA UFUNDI STADI VETA MSIMU WA DESEMBA 2025 CBA,DATS,NABE,IMTT

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) iliendesha Mitihani ya Taifa ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi kwa Msimu wa Mwezi Desemba, 2025 ikiwa ni hatua za kutathmini umahiri uliopatikana katika kipindi husika cha mafunzo katika ngazi ya 1, 2 na 3. Mitihani hiyo ilihusisha jumla ya watahiniwa 40,973 waliofanya mitihani katika programu zifuatazo: Programu ya Kupima Umahiri (CBA), Programu maalum ya Uanagenzi Pacha (DATS), Programu ya Mafunzo ya Biashara (NABE) na Programu ya Uanagenzi Katika Fani za Madini (IMTT). Wastani wa ufaulu kwa programu zote nne (4) ni asilimia 81.1.

Angalia matokeo ya VETA hapa.
MATOKEO YA MITIHANI YA UFUNDI STADI MSIMU WA DESEMBA 2025
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom