Matokeo ya NABE 2025

Matokeo ya NABE 2025 Matokeo ya VETA

Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano au Jinsi ya kuangalia selection za form six selection 2026 Tamisemi
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la Form Six Selection 2026 hapa
Haya hapa matokeo ya NABE 2025 yaliyo tolewa na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) Mitihani hiyo ilihusisha jumla ya watahiniwa 40,973 waliofanya mitihani katika programu zifuatazo: Programu ya Kupima Umahiri (CBA), Programu maalum ya Uanagenzi Pacha (DATS), Programu ya Mafunzo ya Biashara (NABE) na Programu ya Uanagenzi Katika Fani za Madini (IMTT). Wastani wa ufaulu kwa programu zote nne (4) ni asilimia 81.1.

Angalia hapa.
Matokeo ya NABE 2025
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom