Haya hapa Matokeo ya Usaili Air Tanzania (ATCL) Kampuni ya Ndege Tanzania inapenda kuwataarifu wasailiwa wote waliofanya usaili wa vitendo tarehe 04 hadi 06 Mei, 2025 katika kada ya Udereva kuwa ratiba ya usaili wa mahojiano ni kama ilivyoanishwa kwenye jedwali hapa chini;
Tazama hapa orodha nzima.
www.airtanzania.co.tz
Tazama hapa orodha nzima.
