Matokeo ya Usaili Utumishi na Ajira Portal | GPSA, TGDC, TAFIRI, TAWIRI, TRC, NCT, NPS

Matokeo ya Usaili Utumishi na Ajira Portal | GPSA, TGDC, TAFIRI, TAWIRI, TRC, NCT, NPS 04 Novemba 2024

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,576
Gift submitted a new resource:

Matokeo ya Usaili Utumishi na Ajira Portal | GPSA, TGDC, TAFIRI, TAWIRI, TRC, NCT, NPS - Matokeo ya Usaili wa Kuandika uliofanyika Utumishi na Ajira Portal GPSA, TGDC, TAFIRI, TAWIRI, TRC,

Haya hapa Matokeo ya Usaili Utumishi na Ajira Portal | GPSA, TGDC, TAFIRI, TAWIRI, TRC, NCT, NPS yaliyo tangazwa na Sekretarieti ya Ajira Tanzania, orodha kamili ya majina ya waliotwa kufanya usaili yapo chini.

Matokeo ya usaili yaliyo tangazwa​

1. Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA)
2. Kampuni ya Uendelezaji Jotoardhi Tanzania (TGDC)
3. Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi (TAFIRI)
4. Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI)
5. Shirika la Reli Tanzania...

Read more about this resource...
 
Back
Top Bottom