Haya hapa matokeo ya usaili wa kuandika chuo kikuu cha afya na sayansi shirikishi Muhimbili (MUHAS) uliofanyika tarehe 19/05/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa kuendelea na hatua zinazofuata wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho.
Angalia matokeo ajira portal hapa.
www.ajira.go.tz
Angalia matokeo ajira portal hapa.
News Update :: Public Service Recruitment Secretariat
Public Service Recruitment Secretariat / Ofisi ya Raisi katika Utumishi wa Umma

Nafasi za Mkataba Wilaya ya Missenyi
20-05-2025
Nafasi 50 za Kazi Forest Assistant TFS
20-05-2025