Haya hapa matokeo ya usaili wa kuandika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) Uliofanyika tarehe 20/11/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha,wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.
Pakua PDF hapa.
www.ajira.go.tz
Pakua PDF hapa.
News Update :: Public Service Recruitment Secretariat
Public Service Recruitment Secretariat / Ofisi ya Raisi katika Utumishi wa Umma
www.ajira.go.tz