Hili hapa tangazo la Matokeo ya Usaili wa Kuandika Jiji la Mbeya Mwalimu Daraja III B baada ya mtihani wa kuandika wasailiwa wote waliofaulu/waliochaguliwa wanatakiwa kuhudhuria usaili wa mahojiano ya ana kwa ana utakao fanyika kuanzia tarehe 26/04/2025 katika shule ya sekondari Luleza.
Pakua orodha nzima hapa.
Pakua orodha nzima hapa.