HAYA HAPA MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MWALIMU DARAJA LA IIIC (ELIMU MAALUM) ULIOFANYIKA TAREHE 05/02/2025 KUTOKA AJIRA PORTAL
Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao