Kampuni ya Ndege Tanzania inapenda kuwataarifu wasailiwa wote waliofanya usaili wa mchujo tarehe 13 Disemba, 2025 katika kada za Afisa Mauzo na Masoko (Sales and Marketing Officer I) na Afisa Mauzo na Masoko (Sales and Marketing Officer II) kuwa matokeo ya usaili yametoka na kwamba usaili wa Mahojiano utafanyika tarehe 15 Disemba, 2025, Makao Makuu ya Kampuni ya Ndege Tanzania- ATC House - Posta kuanzia saa 2:00 asubuhi.
Pakua PDF hapo chini
Pakua PDF hapo chini
Maswali ya Usaili Dereva
Interview za Maderev
Download PDF