MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO AIR TANZANIA

MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO AIR TANZANIA 15-12-2025

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Kampuni ya Ndege Tanzania inapenda kuwataarifu wasailiwa wote waliofanya usaili wa mchujo tarehe 13 Disemba, 2025 katika kada za Afisa Mauzo na Masoko (Sales and Marketing Officer I) na Afisa Mauzo na Masoko (Sales and Marketing Officer II) kuwa matokeo ya usaili yametoka na kwamba usaili wa Mahojiano utafanyika tarehe 15 Disemba, 2025, Makao Makuu ya Kampuni ya Ndege Tanzania- ATC House - Posta kuanzia saa 2:00 asubuhi.

Pakua PDF hapo chini
MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO AIR TANZANIA.webp
 

Download PDF

Back
Top Bottom