Matokeo ya Usaili wa TRA Angalia hapa

Matokeo ya Usaili wa TRA Angalia hapa 26-04-2025

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Haya hapa matokeo ya usaili TRA wa kuandika Aprili 26, 2025 kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) baada ya mchakato wa takribani mwezi mzima baada ya kufanya interview ya maandishi katika mikoa mbalimbali nchini.

Ingawa TRA walipo tangaza nafasi za ajira hizo walisema wanataka na watachagua vichwa hasa. basi, leo ndio siku ya kuwaona hao vichwa waliofaulu na kuendelea na usaili wa mahojiano na baadae kuitwa kazini.

RESULTS FOR WRITTEN INTERVIEW

Angalia hapa hayo matokeo TRA.

Jinsi ya kuangalia matokeo ya usaili wa kuandika TRA 2025, ukishaingia katika tovuti hiyo hapo juu nenda sehemu pameandikwa "Public notice" Matangazo kwa Umma.
Matokeo ya Usaili wa TRA Angalia hapa

Pia, yatapatikana katika channel ya Creed Ajira Portal.
 
Last edited by a moderator:
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom