Haya hapa Matokeo ya Usaili wa Vitendo Novemba 2, 2026 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.
Bonyeza hapa kuangalia Matokeo ya Usaili
www.ajira.go.tz
Bonyeza hapa kuangalia Matokeo ya Usaili