Haya hapa matokeo ya usaili wa vitendo uliofanyika tarehe 07/05/2025 Ajira Portal au Utumishi Wasailiwa wote waliochaguliwa kuendelea na hatua zinazofuata wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho.
Tazama matokeo yako hapa.
www.ajira.go.tz
Tazama matokeo yako hapa.
News Update :: Public Service Recruitment Secretariat
Public Service Recruitment Secretariat / Ofisi ya Raisi katika Utumishi wa Umma
