- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 169
Mchezo umetamatika Kwa suruhu ya Goli Moja kwa Moja.
Hamna mbabe Kwa mwenzake, Orlando pirates wanakwenda kushika nafasi ya kwanza na points tano "5" michezo mitatu "3"wakifatiwa na Al Ahly (Misri) mwenye alama nne "4" na michezo miwili "2" huku Stade D'Abidjan akiburuza mkia na alama Moja "1" michezo mitatu "3" Nyuma ya Cr Belouizdad mwenye Point tatu "3" na michezo miwili "2".