MCHEZO UMEMALIZIKA: Tp Mazembe 1  vs 1 Young African

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Revoo

Member

Reputation: 22%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
194
Hii Yanga imepoteza ubora wake gafla sana sio Yanga ile ya msimu uliopita ….. Dube anaokoa Jahazi kwa Wananchi dakika za mwisho “Atleast” wamepunguza mzigo mkubwa .

Yanga kuvuna Alama 1 leo pale Lubumbashi inaweza kuwa “Turning Point” yao nzuri sana kurejea kwenye ubora wa Ligi ya Mabingwa Afrika .

Sead Ramovic bado ana nafasi ya kuwapeleka Yanga Robo Fainali ✅
 
Download PDF

  • FB_IMG_1734188894940.webp
    FB_IMG_1734188894940.webp
    115.5 KB · Views: 33
Hii Yanga imepoteza ubora wake gafla sana sio Yanga ile ya msimu uliopita ….. Dube anaokoa Jahazi kwa Wananchi dakika za mwisho “Atleast” wamepunguza mzigo mkubwa .

Yanga kuvuna Alama 1 leo pale Lubumbashi inaweza kuwa “Turning Point” yao nzuri sana kurejea kwenye ubora wa Ligi ya Mabingwa Afrika .

Sead Ramovic bado ana nafasi ya kuwapeleka Yanga Robo Fainali ✅
Kichwa cha habari andika kwa kiswahili. Hili ni jukwaa la kiswahili boss
 
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom