- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 160
Ushindi wa Simba dhidi ya Cs Sfaxien unawapeleka kileleni mwa msimamo wa kundi A wakiwa na alama 9 na kuzima ile kauli ya Simba huwa haijawahi kushinda nyumbani kwa mwarabu.
Ni mechi ambayo ilihitaji wachezaji wanaokimbia sana kiwanjani , kulikuwa na matumizi ya mipira mingi mirefu , power play kwenye nyakati nyingi : Simba walianza na plan nzuri sana dhidi ya Sfaxien.
1 : Walihakikisha wanawafanya Cs Sfaxien hawanufaiki na mipira ya juu yote ya juu (wanacheza wao wa kwanza).
2 : idadi nzuri ya wachezaji pale wasipokuwa na mpira (Pressing yao )
3 : Walikuwa na usahihi wa pasi nyingi za mbele.
4 : Walikuwa direct sana (Hawakuhitaji pass nyingi kufika kwenye nusu ya Sfaxien).
Simba hawakuhitaji kucheza pasi nyingi kwenye eneo lao wakati wanafanya build up : Kibu , Mpanzu , Ahoua na Ateba walicheza wakiwa juu sana Simba wakawa wanatumia mipira mirefu kusogea juu na kuuliza swali gumu kwenye defense ya Cs Sfaxien…. How?
Mpanzu na Kibu walikuwa pembeni zaidi ya uwanja, dhumuni ni kuwafanya Sfaxien kuzuia eneo kubwa na kuacha nafasi ndani (Kuitawanya kiungo cha Sfaxien) then Ahoua na Ateba wanakuwa karibu sana , kwasababu walihitaji kutengeneza uwiano mzuri kwenye kila eneo wakiwa na mpira (Kwenye move ya goli combination nzuri ya Ahoua na Ateba “long ball”)
Cs Sfaxien hawakuwa bora kiwanjani , walicheza kama wapo ugenini : pasi nyingi zilipotea kirahisi , idadi ndogo ya wachezaji eneo la mbele …. mipira mingi ya juu walipoteza Simba walicheza wao wa kwanza na zile second balls walikuwa wa kwanza kuicheza (Kagoma na Ngoma) kwasababu ya Sfaxien waliacha nafasi kati ya viungo na washambiliaji .
NOTE :
Jean Charles Ahoua , Michezo minne : 2 Goals & 2 Assists
Yusuf Kagoma amecheza game bora Fabrice Ngoma
Back Four ya Simba : Malone , Hamza , Zimbwe na Kapombe
Camara
Yule Konte namba 6 wa Cs Sfaxien ameubonda haswa .
SIMBA KWA MARA YA KWANZA ANAPATA USHINDI KASKAZINI MWA AFRIKA .
FT: Cs Sfaxien 0-1 Simba
️ Ahoua
Ateba