- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 194
Plan ya Fadlu Davids imeanzia kWa huyu mwamba “Jean Charles Ahoua” wakati timu inashambulia kuwa na uharaka wa kufanya maamuzi na pass sahihi kwenda mbele
Ahoua akiwa na mali Kibu anakuwa wides zaidi the same na Mpanzu + Mukwala sio standing straiker anamove nafasi nyingine (spaces zinakuwa nyingi kwa Ahoua kupasi
)
Assist yake ya tano msimu huu kwenye NBCPL .
Game bora kuishuudia…. High intensity
Simba wameunda mashambulizi kwa uharaka sana kwa kutumia mawings wao (Mpanzu na Kibu) ambao wanakuwa wides sana : Simba wanaanza Build Up vizuri sana wanaipita pressing ya Singida kwa pasi fupi fupi + Position ya viungo wao 
Singida hawakuzuia wakiwa chini walianza kuwa kuwapress Simba kuanzia juu lakini pressing yao haikuwa nzuri sana . Build Up wanapoteza mipira kirahisi mno na Simba wanapressing na idadi nzuri ya wachezaji then wanafanya “Quicky Transition” iliwapa wakati mgumu Singida .
Metcha Mnata
Mpanzu mtu sana
Anthur Bada
Kagoma anachafua sana pale kwenye kiungo